Wednesday 10 July 2013

KUTIA MUI HIJABUNI (KURINGISHA NGOMBE, SADAKA YA MUI) (Village Sacrifices for Disaster in Old Swahili )

Kutia mui hijabuni ni sadaka ya mui hufanywa kukinga mui katika balaa fulani kama balaa ya njaa,ugonjwa,vita au janga lolote linalokabili mui huo.

Sadaka huchangwa na wenye mui kila nyumba hutoa mchango wake kulingana na uwezo wako, kama pesa au mkate kwa wasiyojiweza.

Pesa hizo kununuliwa ngombe akachinjwa ndee ya mui na kuliwa pamoja na mkate.
Sadaka hiyo haifai kupelekwa muini inaliwa huko huko ndee ya mui.

Sadaka hini hufanywa mpaka sasa.



Village Sacrifices for Disaster in Old Swahili 

Village sacrifice is done when the village or the country is facing a certain disaster like outbreak of the disease, lack of rain, misunderstanding in the village, fighting, lack of rain and e.tc.
The sacrifice is done by all the villagers of that village or town. Everyone contribute money and for those who can not afford to pay money, they buy breads.

Then a big cow is purchased with that money, the cow is then taken round the whole village by the villagers themselves while praying until they reach a place outside the village, there the cow is slaughtered, cooked and eaten with breads.
The meat is not allowed to be taken back to the village rather it  is eaten outside of the village where the cow was slaughtered.

Prepared by Khadija Issa Twahir
Lamu Fort Museum

No comments:

Post a Comment