Hon.
Governor Hassan Joho Kama
desturi, mila na utamaduni ya waswahili na kisiilamu aliwaalika waislamu katika
Hafla ya Iftar jumamosi tarehe 28/7/2013 kujumuika na kufuturu pamoja kama
desturi ya kila mwezi wa Ramadhan. Zaidi ya watu elfu na walihudhuria hafla hii,
wake kwa waume wakiwemo wakuu katika ngazi za juu serikalini Hon. Abdulswamad
Nassir, Senator Hassan Sarai na pia waongozi wa dini ya kisiilamu.
Wageni walioalikwa |
WANAUME WAGENI |
Katika Hafla hi ya jumamosi nilipata fursa yakukutana nae
Bw. Ustadh Hassan Mwagizo na nika muhoji juu ya elimu asilia ya mwezi mtukufu
wa Ramadhani na ustadh Hassan alikuwa na haya yakusema kuhusu mwezi huu tukufu.
Mwezi tukufu wa Ramadhan:
·
Ustadh alisema ni wajib kwa kila muisilamu
kufanya uhalishi katika huu mwezi tukufu kulingana na uweza na kadri yake.
·
Ustadh alisema mwezi huu ni wakipeke na huja
mara mmoja tuu kwa mwaka na ndipo tuna pata fursa yakutangamana pamoja na jama,
jirani, marafiki na waislamu wate kwa jumla
·
Mwezi huu inatupa fursa yakupeana elmu jamii,
dini na dunia. Na kwa hilo lakutangamana tunapata kusameheana na kusamehewa na
Mwenyezi Mungu (SW)
·
Ramadhan huleta uhusiano mema baina ya ndugu,
majirani na marafiki
·
Huboresha elimu jamii
·
Kufunga Ramadhan ni tiba kubwa kwa afya ya mwanadamu
·
Kufunga yatia imani na huzidisha undugu,
kushikamana na kusaidiana
SEHEMU
YA WAMAMA NA CHAKULA VILIVYO ANDALIWA (FUTARI)) FORT JESUS MUSEUM
|
f
FJM – PARKING (KUSWALIA) |
WAkina mama waki future |
Waandazi wa futari – white sands hotel.
Kwa mengi zaidi tizama Kanda ya “IFTAR – HON HASSAN JOHO, FJM 28/7/2013.
Ustadh Hassan
Mwagizo akihojiwa na Fatma Mansoor
Juu ya:
Repoti
na fatma mansoor – elimuasiliaonline
No.
ya simu ya Ustadh Ali - 0721251423