Monday 16 September 2013

HAFLA YA IFTAR KATIKA UKUMBI WA FORT JESUS MUSEUM KWA UHALISHA YA MUHESHIMIWA HON. HASSAN JOHO GOVERNER COUNTY YA MOMBASA




Hon. Governor Hassan Joho Kama desturi, mila na utamaduni ya waswahili na kisiilamu aliwaalika waislamu katika Hafla ya Iftar jumamosi tarehe 28/7/2013 kujumuika na kufuturu pamoja kama desturi ya kila mwezi wa Ramadhan. Zaidi ya watu elfu na walihudhuria hafla hii, wake kwa waume wakiwemo wakuu katika ngazi za juu serikalini Hon. Abdulswamad Nassir, Senator Hassan Sarai na pia waongozi wa dini ya kisiilamu.
Wageni walioalikwa


WANAUME WAGENI
Katika Hafla hi ya jumamosi nilipata fursa yakukutana nae Bw. Ustadh Hassan Mwagizo na nika muhoji juu ya elimu asilia ya mwezi mtukufu wa Ramadhani na ustadh Hassan alikuwa na haya yakusema kuhusu mwezi huu tukufu.

Mwezi tukufu wa Ramadhan:
      ·         Ustadh alisema ni wajib kwa kila muisilamu kufanya uhalishi katika huu mwezi tukufu kulingana na uweza na kadri yake.
      ·         Ustadh alisema mwezi huu ni wakipeke na huja mara mmoja tuu kwa mwaka na ndipo tuna pata fursa yakutangamana pamoja na jama, jirani, marafiki na waislamu wate kwa jumla

      ·         Mwezi huu inatupa fursa yakupeana elmu jamii, dini na dunia. Na kwa hilo lakutangamana tunapata kusameheana na kusamehewa na Mwenyezi Mungu (SW)
      ·         Ramadhan huleta uhusiano mema baina ya ndugu, majirani na marafiki  
      ·         Huboresha elimu jamii
      ·         Kufunga Ramadhan ni  tiba kubwa kwa afya ya mwanadamu
      ·         Kufunga yatia imani na huzidisha undugu, kushikamana na kusaidiana

SEHEMU YA WAMAMA NA CHAKULA VILIVYO ANDALIWA (FUTARI)) FORT JESUS MUSEUM

FUTARI SEHEMU YA WAMAMA
f

FJM – PARKING (KUSWALIA)

WAkina mama waki future





Waandazi wa futari – white sands hotel.







Kwa mengi zaidi tizama Kanda ya “IFTAR – HON HASSAN JOHO, FJM 28/7/2013.

Ustadh Hassan Mwagizo akihojiwa na Fatma Mansoor Juu ya:



Repoti na fatma mansoorelimuasiliaonline


No. ya simu ya Ustadh Ali - 0721251423



 






No comments:

Post a Comment