Salim Abdulrahim Abdalla (Kidalla). |
Punda ni mnyama kama wanyama
wengine walivyo umbwa, na hana tofauti yake kama wanyama wengine, kasoro na
uzuri pia. Kwa hakika wanyama wote waliumbwa kwa wakati tofauti na Mungu,
lengo la wanyama wote kuumbwa na Mungu ni kwa maslahi au matumizi au
kutwi amri za mwanaadamu mfano:
Mnyama mkali Simba, ni mnyama
mkali na adui mpaka kuitwa mfalme wa wanyama lakini anapokutana na
mwanaadamu kivilivyo anamtii na kuchukua
amri zake.
Wanyama wote wa porini
wanauasili, wanaaingiliana, mfano:- Ngombe/Nyati , Simba/Paka/Chui/Cheeta
Familia ya Punda ni wane wakiwa:
v Farasi
v Punda
v Punda
mlia
v Nyumbu/Kiongwe
Farasi na Punda wazaa – Nyumbu (Mule)
Punda mlia na Punda wazaa – punda
albino (stripe but different)
Katika wanyama wote hawa
watembeleana (matting) hawana uadui, wanajihisi ni familia mmoja.
METHOLOGY YA PUNDA
ALIVYO UMBWA PUNDA (WAKATI)
Punda ni mnyama yuko tangu nyakati za mitume mfano: Punda ilitumika
wakati wa mtume Nabii Nuhu akijenga
(safina) punda wametumiwa kwa usafiri na kubebea vitu tofauti, tofauti katika
usafiri haswa kueneza/Kutangaza ujumbe wa Mwenyezi Mungu Mfano:
v Nabii
Issa (Yesu) – na wengineo walimtumia Punda sana kwa kazi yao ya Mungu. Imo
katika Bibilia na Qur’aan kuhusu matumizi ya Punda ambavyo ni kama :
i.
Pambo
ii.
Kipando
iii.
Katika mchezo.
(QUOTE FROM THE HOLY QUR’AAN)
ARABIC KISWAHILI
TRANSLATION
“WALKHAILA” FARASI
“WALBIGHALAH” NYUMBU
“WALHAMIRA” PUNDA
“LITARKHABUHA” MNAWAPANDA
– WANYAMA HAO
« WAZINATAH » NA
MNAFANYA PAMBO, UREMBO
« WAYAHMILU » WANAWABEBEA
« ATHKALAKUM » MZIGO
YETU
« ILABALADHIN » PUNDA
YUA TUBEBEA MZIGO WETU MPAKA KWENYE MJI YA MBALI
« LAMTAKUNU » AMBAYO
NI SHIDA
« BALIGHIHIILA
BISHIQUIL AMFUS » MZIGO MKUBWA
KUIBEBA NA SAFARI YA MBALI
(The
narrator here try to quote from the Holy Qur’an to show that the animals has
been in existence since and during the times of the prophets and that the
animals according the holy book are here to help us, to beautify our nature and
environment and that should respect and follow orders from human beings. )
MATUMIZI YA PUNDA KWA MDA WETU WA
LEO.
a.
Ubebaji wa mzigo vijijini khaswa katika umma wa
kimaskini
b.
Kuguruta mkokoteni/Msukumeni
c.
Kubebea maji kutoka Mtoni/Ziwani/Visimani (haswa
katika mji wa lamu na visiwani punda ina usaidizi mkubwa kwa wenyeji kwani
mashamba ni mbali mno, kuteka maji pia ni kipande an vile vile ndio njia yapeke
ya usafirishaji, na ubebaji mzigo.
2. Kulima:
a.
Punda anatumiwa kuguruta gari/mkokoteni maalum
kwamina jili ya kulimia ardhi
3. Baadhi
ya wanaadamu (Binaadam) wanamtumia kama chakula (kitoweo)
4. na pia kuna itikadi ya kutumia cho
cha punda katika kutibu maradhi ya watoto “kwa kufukiza moshi ya cho cha punda.
“kwa sababu ya pepo mbaya au baba watoto ndege Ow
5. mchezo ya mashindano ya mbio za punda
khaswa katika wakati za sherehe kama (Swahili culture, Madaraka day, Mashuja
day huwa ina fanna sana na kila mmoja hufurahia.
6. Kwa kuwa sehemu za Lamu hamna
usafiri wa gari (Kisiwani) punda wanatumiwa sana katika hali za dharura. Kubebeshwa
wagonjwa wasiojiweza, ama mahtuti, mama mja mzito (nk) kuwasafirisha
hospitalini kwa uduma za dharura (Yatumiwa kama Ambulance)
PUNDA: STORY BY
SALIM ABDULRAHIM ABDALLAH (KIDALLA)
PROFFESSION: MWALIMU
BAJUNI FROM LAMU
52 YEARS.
No comments:
Post a Comment