Mohammed Ahmed Hassan |
Ustadh
Mohammed Ahmed Hassan ni mjukuu wa Amir Jamadar na ni mjukuu wa kumi na tano
(15) (15th generation) katika familia kurithi mambo ya matibabu na
miti shamba.
Familia
ya Ustadh Mohammed Ahmed Hassan vizazi vyao vimetokana na Jinni na wanaadamu.
Babu yake Mohammed (grand grand father) alikuwa jinni na alikuwa amesafiri
kutaka inchi za Kiarabu, akapitia Zanzibar, Pemba na mwishowe akatua Kenya
katika bahari hindi upande wa Light House hapo ndiko iliko pango ya mzimle
Kaimu Idarus (Jinni).
Jinni
huyu ama kwa jina Kaimu Idarus bin Baushi Wakaile aliingia mjini na kamuoa
msichana wa kibinaadamu na kasha kuzanae watoto wa kiume na wa kike. Madhumuni ya jinni huyu hata kuowa mke
wakiibinaadam ni kwamba kuwa alitaka wanaadamu wapate elimu ya kutibu na dawa
za mti shamba nasi tu haya pia wapete elimu ya Kijinni na nguvu yakuweza kuona
matatizo yanao wakumba wanaadamu hapa duniani.
Mzimle
Kaimu Idarus aliwafundisha wanao wa
kiume;
·
elimu
ya dunia na Akhera,
·
akawafundisha
juu ya madawa ya miti shamba
·
na
akawapa nguvu ya kimajini kuweza kuona na kutibu mgonjwa
·
Dawa
za miti shamba
·
Vyakula,
matunda na mbegu yanao tokana na chakula
·
Dawa
kubwa zaidi husomea mgonjwa Qur’aan Tukufu
·
Talasin
– ni visomo husomwa na matabibu
·
Na
nguvu za Jinni “Mzimle Kaimu Idarus”
Madawa
anayo tumia Mohammed Ahemd Hassan kwa kutibu wagonjwa wake. Mfano:
Asali
Safi
|
Koto
– mzizi wa miti.
|
Mafuta
ya Zeti
|
Mafuta
ya Lozi
|
Habasoda
|
Mafuta
ya hasina
|
Mawaridi
|
Karafu
|
Kitungu
maji
|
Mdalasini
|
Mafuta
ya nazi
|
Siki
|
Tangawizi
|
Manjano
|
Kungu
manga
|
Bizari
nyebamba
|
Sukari
mawe
|
Zaatari
|
Kahawa
|
Shimari
|
Chumvi
|
Mvuje
|
Kunazi
|
Zafarani
|
Manemane
|
Kuzbarah
|
Ubani
mweupe
|
Thomo
|
Supu
ya njiwa
|
Udi
|
Majani
ya mkunazi
|
Unga
wa habasoda
|
Unga
wa uwatu
|
Ambari
safi
|
Jumba
ya asali ya nyuki
|
Unga
wa pembe ya kifaru
|
Tangawizi ya unga
|
Magadi
|
Maua
ya mnazi
|
Rose
sherbet
|
Muwa
|
Ndizi
za kiume
|
Tende
|
Dafu
|
Uvumba
|
Marashi
|
Udi
wardi
|
Zamda
|
Shubiri
|
Haya
ni madawa anayotumia Mohammed kutibu wagonjwa kwa kuchanganya kwa mfano mgonjwa
wa kisukari:
Unga
wa mbegu za Zambarau
1.
Unga
kibiriti upele
2.
Unga
wa haltiti
3.
Unga
wa haba soda
4.
Unga
wa maganda ya koma manga
Changanya
na;
5.
Asali
half Glass
6.
Majani
ya mwembe (yakaushwe kivulini. Yakikauka yasagwe unga)
Matumizi – 1 spoon katika maji (half
glass 1x3)
7.
Mzizi
wa kabichi (yaondoa kisukari kabisa)
KIUNO KUUMA:
Ponda thomo jipake sehemu inayo uma
(kwa mda mpaka upate nafuu)
Mafuta ya haba soda (Yapashe moto Jipake
hapo Kiunoni)
KIFUA KIKUU (1X2) KWA MIEZI MIWILI.
1.
Juisi
ya kitunguu thomo (1 Glass changanya na)
2.
Haba
Soda ya unga (1 spoon)
3.
Asali
Safi
4.
Al-Qasusi
5.
Koto
na Mawaridi
6.
Tembe
(Sita) za Karafuu
7.
Unga
wa Pembe ya mbuzi
(asifanye
kazi ngumu na jimai asikose chakula kilicho bora)
Ustadh
Mohammed Ahemed Hassan atibu magonjwa mengi na dawa asilia za Kiswahili na mti
shamba.
ELIMU
YA URATHI KUTOKA KWA
KAIMU
MZIMLE IDARUS
NA
MOHAMMED
AHMED HASSAN
habari yako naomba nifamishe nitapata wapi mbegu za uwatu
ReplyDeleteSalama. For more information on this, please use the fllowing contacts. Email addresses are kaimuidarus@gmail.com and mzimlekaimuidarus@yahoo.com. Telephone numbers are 0725920186 and 0727356606. Thank you very much.
DeleteAsante kwa tiba maalimu
ReplyDelete