Friday, 3 August 2012

Historia na Matumizi ya Leso...


Saumu Iddi, Lady of Our Mercy Primary School, Likoni. 10 Years Old
Hapo zamani, wanawake walitumia kaniki kama nguo ya kujifunika alafu leso zilitoka india na baadaye zikaanza kutengenezwa hapa kwetu. Duka la kwanza kuuza na kutengeneza leso ni duka la Abdalla.
Matumizi ya Leso; twajifunga wakati wa swala, leso yatumika kuoshea maiti wa kiislamu , leso huvaliwa kama nguo , kufungia motto, kama afron wakati tunapika jikoni, kama kata utengenezwa kubebea maji na pia mapambo majumbani ya kitanda. Leso hufungwa wakati wakucheza chakacha ama msondo katika maarusini. 


1 comment: